Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2018

Mambo ya kuzingatia unapotaka kuuza gari used mtandaoni

Kuna watu wengi wanauza magari kupitia mtandao wanatangaza biashara kupitia mitandao mikubwa hapa Tanzania kama guliostore.com , Kupatana na ZoomTanzania, na   ni njia ya kupata wateja wengi zaidi baada ya kuchagua tovuti ya kutaka kutangaza biashara  osha gari lako kisha chukua picha nyingi zakupost mtandaoni Kama mteja atakutafuta utamwambia maongezi ya bei utofauti wa bei na wauzaji wenzio itategemea na gari yako ina hali gani Hapa leo tumekuletea mambo yakuzingatia unapotaka kuuza gari used mtandaoni 1.Hakikisha una kadi ya gari Mara unavyoweka gari lako mtandaoni wateja wengi wataanza kukutafuta. Kabla haujaanza kutangaza mtandaoni hakikisha gari yako unavielelezo vyote kuwa wewe ndio mmiliki pia lipia mapato yako yote ikiwa kama unadaiwa 2.Elewa kipi unakijua kuhusu gari yako Mara mtu anapoanza kukutafuta huwa anakuja na maswali mengi utafanya  vizuri kuwajibu Ikiwa hauna ujuzi wowote ni muda sasa wakuanza kufuatilia gari yako ina engine ya aina g...

Jinsi ya kuuza nyumba yako haraka mtandaoni

Linapokuja swala la kuuza nyumba kitu cha kuzingatia ni kupata dalali mzuri wa nyumba na majengo ambaye unaona anauelewa wa kutosha Na leo hii Gulio Tanzania tupo hapa tumekuorodhoshea hatua saba mambo ya kuyazingatia unapotaka kuuza nyumba mtandaoni 1.Fanya utafiti sifa za dalali unayemfikiria kukuuzia nyumba yako Kabla haujachagua dalali unayempenda hakikisha unampata dalali ambaye atakuuzia nyumba kwa bei nzuri pia awe mwaminifu 2.Chukua mda kuandaa picha Kitu cha msingi wanunuaji wa nyumba mtandaoni wanachokiangalia zaidi ni picha kabla hawajataka kujua vitu vingine kazi kwako kuchukua picha za nyumba yako zenye muonekano mzuri Chukua picha ya nyumba nzima kwa mbele ambayo itaonekana bila gari au wanyama pia chukua picha ikionesha vyumba,sebule kama kuna yard ya magari au swimming pool 3.Usisahau kulipia kiasi kidogo tangazo lako premium listing Hatua ya kwanza kabisa kuuza nyumba yako mtandaoni ni rahisi kama tangazo lako litakuwa ukurasa wa mbele ambao wanunuaji ...

Mambo ya kuzingatia unavyotaka kuuza smartphone mtandaoni

Wengi wetu huwa tunapenda kuziuza smartphone zetu hasa pale tunaposikia kuna toleo jipya limeingia Lakini sio kitu kirahisi. Ni wazo zuri kufikiria kuuza simu uliyoitumia kwa mda mrefu ili uweze kupunguza  gharama za kununua simu toleo jipya kila siku Kuuza na kununua simu nyingine itakusaidia kupunguza gharama Uuzaji wa simu ni kama sayansi. Kuna watu wengi wanaishi kwa kutegemea biashara hii.Kuna wengine wamesomea biashara hii kwa miaka Nimeuza na kununua simu mtandaoni kwa kupata mafanikio makubwa ndo mana leo nimeleta makala hii kwa wale ambao hawana uzoefu waweze  kujua mambo ya kuzingatia ili waweze kujifunza Mambo ya kuzingatia unavyotaka kuuza smartphone mtandaoni 1.Toa maelezo ya simu kwa kina na kuwa mwaminifu Kuna aina mbili za wateja kuna wa wale ambao wanatafuta bidhaa ili wanunue lakini kuna wale ambao baada ya kuperuzi mtandaoni wakavutiwa na bidhaa Bila kujali ni kundi lipi unaloliuzia bidhaa hakikisha kila mara unakuwa na maelezo ya bidhaa zako...