Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Mambo ya kuzingatia unapotaka kuuza gari used mtandaoni


Kuna watu wengi wanauza magari kupitia mtandao wanatangaza biashara kupitia mitandao mikubwa hapa Tanzania kama guliostore.com, Kupatana na ZoomTanzania, na   ni njia ya kupata wateja wengi zaidi baada ya kuchagua tovuti ya kutaka kutangaza biashara  osha gari lako kisha chukua picha nyingi zakupost mtandaoni
Kama mteja atakutafuta utamwambia maongezi ya bei utofauti wa bei na wauzaji wenzio itategemea na gari yako ina hali gani

Hapa leo tumekuletea mambo yakuzingatia unapotaka kuuza gari used mtandaoni

1.Hakikisha una kadi ya gari
Mara unavyoweka gari lako mtandaoni wateja wengi wataanza kukutafuta. Kabla
haujaanza kutangaza mtandaoni hakikisha gari yako unavielelezo vyote kuwa wewe ndio mmiliki pia lipia mapato yako yote ikiwa kama unadaiwa

2.Elewa kipi unakijua kuhusu gari yako
Mara mtu anapoanza kukutafuta huwa anakuja na maswali mengi utafanya  vizuri kuwajibu
Ikiwa hauna ujuzi wowote ni muda sasa wakuanza kufuatilia gari yako ina engine ya aina gani na gari yako inatembea speed gani ,inabeba mzigo ukubw kiasi gani na fatilia na  mambo mengine kama vile utumiaji wa mafuta

3.Hakikisha bei yako haitofautiani sana na wauzaji wengine
Tayari unajua kiasi gani unataka kuiuza gari yako hatua inayofuata panga bei ambayo ni sahihi unajua kila muuzaji huwa anapenda kuuza gari kwa bei kubwa kitu ambacho kitafanya wanunuzi wasikutafute. Weka bei halisi kupata muitikio mkubwa kwa wanunuzi wakutafute

Tafuta bei halisi ya gari yako fanya utafiti wa gari kama ya kwako ikiwa ina hali ya kwako na speed hiyo inauzwa bei gani?
Ikiwa gari yako ime miss kitu flani.Gari yako inabidi ata bei ipungue lakini gari yako ikiwa na sifa za gari nyingine panga bei ambayo ni sahihi

4.Chukua picha nyingi za gari yako
Ni ngumu mnunuzi kununua gari ambalo ikiwa picha hazioni. Kama unataka kuuza gari mtandaoni weka picha nyingi kumfanya mnunuzi aone kitu atachokipata.Baada yakuwa umeliosha  gari yako chukua picha za gari yako

Linapokuja swala la kupata picha za gari used usichukue picha za nje tu ya gari
Onesha picha na maelezo kama taa na tires kwahiyo mnunuzi ataona ndani na nje
Chukua picha nyingi za ndani ya gari ikiwa inaonesha muonekano wa ndani kama viti,sehemu ya radio na hata sehemu ya mizigo

5.Jifunze kuandika tangazo
Moja ya sehemu ngumu zaidi kuhusu kuuza gari used mtandaoni ni hili la kuandika tangazo la gari yako. Wote huwa tunaona matangazo yanavyoandikwa kwenye tovuti za kuuza bidhaa ,kwahiyo usione kama utahitaji mtu akuuzie gari yako mtandaoni
Hakikisha tangazo lako linakuwa na mambo muhimu tarajia kuulizwa swali lolote kutoka kwa mnunuzi
Kwenye tangazo lako liwe na na mambo muhimu

.Toleo la gari yako limetoka mwaka gani
.Speed ya gari
.Utumiaji wa mafuta kiasi gani
.Kama unakumbuk gari yako imefanyiwa matengenezo mara ngapi
.Kama kuna kifaa kimeharibika sema na bei yake ya matengenezo na
.Bei unayouza gari yako
.watu watakupataje unatumia email au namba ya simu

6.Tangaza gari kwenye tovuti ambayo inawapitiaji wengi
Kuna tovuti nyingi ambazo unaweza ukaanza nazo kuuza gari yako used fatilia tovuti gani inapitiwa na watu wengi na lipia kiasi kidogo kuweka tangazo lako kwenye premium listing tangazo lako mda wote litaonekana mbele ya watu wengi ukawa na nafasi kubwa ya kuuza
Unaweza ukawatumia tovuti kama guliostore.com,kupatana na Zoomtanzania kutangaza gari lako lakini tunapendekeza sana kutumia Gulio Store ni tovuti mpya unaweza pia ukaitumia kutangaza gari lako wapitiaji wa tovuti ni wengi pia, bei zao ni cheap na wanunuzi wengi ni waaminifu ingia guliostore.com
Kuanza leo kutangaza gari lako

7.kuwa na muwazi na mkweli kuhusu hali ya gari
Ikiwa gari yako lina tatizo au limeharibika baadhi ya kifaa orodhesha matatizo ya gari yako. Jaribu kusema na baadhi ya matengenezo uliyoyafanya au kama gari lilipata ajali ukabadilisha baadhi ya vifaa

8.Osha gari yako
Safisha gari yako kabla ya siku haujalipeleka kumuonesha mnunuzi sababu unatakuwa umelifany limvutie mteja hivyo kumfanya atatamani kuliona uzuri wa ndani
Safisha lingi za tairi na piga air fresh ndani ya gari  kumbukaa muonekano wa gari sio kitu pekee kinaweza kumshawishi mteja bali hata usafi wa gari






Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Njia mbalimbali za kuandika tangazo la biashara

Ikiwa ni mfanyabiashara jifunze jinsi ya kuwashawishi wateja na kupata matokeo.unatakiwa kutangaza kupata matokeo makubwa watu wavutiwe na bidhaa zako na kuwafanya wateja kuwa na hamu kubwa ya kununua bidhaa zako Jifunze njia mbalimbali za kuandika tangazo la kuuza bidhaa/huduma mtandaoni 1.Andika kama vile jinsi unavyoongea Kampuni yako au bidhaa yako ni kama mtu na inasifa yakuwa na sauti. Na tumia hiyo sauti kuifuatisha Andika tangazo kama vile unavyoweza kuzungumza,maneno utayoandika kati ya kampuni yako na mnunuzi wako Sauti yako na hasa maneno utayochagua kutumia yatakuwa tofauti sana 2.Andika sifa na faida kabla haujaanza Watu hawawezi kununua bidhaa yako au huduma yako ikiwa hawafahamu watanufaika na nini kwenye bidhaa yako. Mfano unauza  printer waelimishe watu huduma yako itawasaidiaje, je inaokoa mda na kazi? Ubora wa hiyo bidhaa yako? Unamwambia nini mteja ategemee kwenye hiyo bidhaa? Andika sifa na faida kwa mteja kile ambacho atanufaika kuhusu bidhaa au hu...

Mambo yakuzingatia unapotaka kuuza mafuta ya ngozi ya mafuta kwa wateja wa jumla

Makampuni mengi lengo lao kubwa ni kuuza bidhaa zao za mafuta ya ngozi jumla kwa wateja wanaoenda kuuza rejareja. Hatua hii inaweza kuwa changamoto kwa wazalishaji wa bidhaa na wauzaji ili uweze kufanya mauzo vizuri na ufanikiwe kuwapata wanunuzi wa bidhaa yako inatakiwa ufanye maandalizi na ujue nini unategemea Kufanikiwa kufikisha na kuuza bidhaa za mafuta ya ngozi kwa wanunuaji fuata hatua chache na kuwa na ujuzi .kiujumla kampuni inaweza kuwa kubwa ,ikawepo mtandaoni lakini watu wangapi nao wanafanya hivyo Weka mipango vizuri kuhusu wateja,ushindani,na brand izidi kukuwa. Pia kuwa makini wakati wa kuuza na kufanya mapatano ya bei. Mwisho biashara yako itakuwa na itapanuka Mambo yakuzingatia unapotaka kuuza mafuta ya ngozi kwa bei ya jumla 1. Wanunuaji huwa wanaangalia bidhaa yenye ubunifu Inatakiwa uuze bidhaa ambayo mtu atataka kununua . Pengine inaweza ikawa na ubunifu katika kifungashio,vitu vilivyotumika kutengenezea,technolojia,inavyotumika etc  inatakiwa uongeze t...