Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Mambo yakuzingatia unapotaka kuuza mafuta ya ngozi ya mafuta kwa wateja wa jumla

Makampuni mengi lengo lao kubwa ni kuuza bidhaa zao za mafuta ya ngozi jumla kwa wateja wanaoenda kuuza rejareja. Hatua hii inaweza kuwa changamoto kwa wazalishaji wa bidhaa na wauzaji ili uweze kufanya mauzo vizuri na ufanikiwe kuwapata wanunuzi wa bidhaa yako inatakiwa ufanye maandalizi na ujue nini unategemea

Kufanikiwa kufikisha na kuuza bidhaa za mafuta ya ngozi kwa wanunuaji fuata hatua chache na kuwa na ujuzi .kiujumla kampuni inaweza kuwa kubwa ,ikawepo mtandaoni lakini watu wangapi nao wanafanya hivyo

Weka mipango vizuri kuhusu wateja,ushindani,na brand izidi kukuwa. Pia kuwa makini wakati wa kuuza na kufanya mapatano ya bei. Mwisho biashara yako itakuwa na itapanuka

Mambo yakuzingatia unapotaka kuuza mafuta ya ngozi kwa bei ya jumla
1. Wanunuaji huwa wanaangalia bidhaa yenye ubunifu
Inatakiwa uuze bidhaa ambayo mtu atataka kununua . Pengine inaweza ikawa na ubunifu katika kifungashio,vitu vilivyotumika kutengenezea,technolojia,inavyotumika etc  inatakiwa uongeze thamani ya bidhaa kwa wateja

2.Wanunuzi wanapenda kununua bidhaa ambazo zinavuma
Wanataka kuona unaushiriki mkubwa kwa wale wanaokufuata na watu. Wauzaji wengi huwa wanafatilia kwenye mitandao ya kijamii na google kuangalia watu wanaiongeleaje bidhaa yako

3. Ikiwa ndo kwanza unaingia sokoni, ni sawa tu
Wanunuzi wengi wa bidhaa za urembo wanaangalia brand mpya, kwahiyo unahitaji

4. Lenga wateja husika wa bidhaa yako kuwa
Chagua aina moja ya bidhaa za kuuza hii itakusaidia kujenga brand yako na utafanikiwa kuliteka soko mtandaoni

5.Panga bidhaa zote kwenye store yako
Unahitaji upange bidhaa zako ili zionekane mbele ya wanunuaji
Kama ni muuzaji wa mafuta ya ngozi anza kupanga bidhaa zako kwa mpangilio ukifanya hivi uta punguza gharama mwanzoni. Unahitaji kupanga zile bidhaa zote ambazo zinapendwa ziwe nyingi zaidi kwenye shelf zaidi ya moja

6. unahitaji kwenda na wakati
Hakikisha una enda na mda inabidi ujue nini kinaendelea kuhusu soko la bidhaa za urembo duniani angalia ni bidhaa gani inapendwa sana wakati huo hapo utajua watumiaji wanahitaji nini

7. Matumizi ya bidhaa za asili yanaongezeka
Soko la bidhaa za urembo linaonesha wateja wamerudi kuendelea kutumia bidhaa za asili kutokana chemical kwenye baadhi ya bidhaa kusababisha magonjwa kama kasa
Sasa unahitaji kuelewa ni bidhaa gani ya asili inaweza kuwavuta wauzaji wa rejareja wa bidhaa za urembo kununua

8. Ukitaka kuwashawishi wanunuaji wa bidhaa za urembo toa sample
Kabidhi bidhaa 20 za sample kila unapoingiza bidhaa sokoni.Inamaana kwamba kabla haujawapelekea mzigo wateja toa sample kwanza na kurasa moja ya maelezo weka maelezo mafupi
Eleza kwanini umewalenga hao wateja na watafute mda wakukufuata baadae

Wapi utauzia bidhaa zako za urembo
Siku ya leo sitoeleza sana katika mada itaofuata nitakuja na makala nyingine kueleza zaidi
kuhusu njia za kuuza bidhaa zako zako mtandaoni endelea kunifuatilia. Uza bidhaa zako kwa njia hizi tumia

1.Mitandao ya kijamii
2.affiliate marketing
hii ni biashara ambayo unawapa watu watangaze mtandaoni bidhaa wakiuza mnagawana faida unatoa commission
3.anzisha website
anzisha tovuti ambayo itakuwa unaandika makala kuhusu bidhaa zako
4.Njia nyingine unaweza kutumia tovuti yetu ya guliotanzania.com kutangaza bidhaa zako inatembelewa na idadi kubwa ya watu kuuza hivyo kuwa na uwezekano mkubwa wa kuuza bidhaa yako anza leo kutumia guliotanzania.com


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Njia mbalimbali za kuandika tangazo la biashara

Ikiwa ni mfanyabiashara jifunze jinsi ya kuwashawishi wateja na kupata matokeo.unatakiwa kutangaza kupata matokeo makubwa watu wavutiwe na bidhaa zako na kuwafanya wateja kuwa na hamu kubwa ya kununua bidhaa zako Jifunze njia mbalimbali za kuandika tangazo la kuuza bidhaa/huduma mtandaoni 1.Andika kama vile jinsi unavyoongea Kampuni yako au bidhaa yako ni kama mtu na inasifa yakuwa na sauti. Na tumia hiyo sauti kuifuatisha Andika tangazo kama vile unavyoweza kuzungumza,maneno utayoandika kati ya kampuni yako na mnunuzi wako Sauti yako na hasa maneno utayochagua kutumia yatakuwa tofauti sana 2.Andika sifa na faida kabla haujaanza Watu hawawezi kununua bidhaa yako au huduma yako ikiwa hawafahamu watanufaika na nini kwenye bidhaa yako. Mfano unauza  printer waelimishe watu huduma yako itawasaidiaje, je inaokoa mda na kazi? Ubora wa hiyo bidhaa yako? Unamwambia nini mteja ategemee kwenye hiyo bidhaa? Andika sifa na faida kwa mteja kile ambacho atanufaika kuhusu bidhaa au hu...

Mambo ya kuzingatia unapotaka kuuza gari used mtandaoni

Kuna watu wengi wanauza magari kupitia mtandao wanatangaza biashara kupitia mitandao mikubwa hapa Tanzania kama guliostore.com , Kupatana na ZoomTanzania, na   ni njia ya kupata wateja wengi zaidi baada ya kuchagua tovuti ya kutaka kutangaza biashara  osha gari lako kisha chukua picha nyingi zakupost mtandaoni Kama mteja atakutafuta utamwambia maongezi ya bei utofauti wa bei na wauzaji wenzio itategemea na gari yako ina hali gani Hapa leo tumekuletea mambo yakuzingatia unapotaka kuuza gari used mtandaoni 1.Hakikisha una kadi ya gari Mara unavyoweka gari lako mtandaoni wateja wengi wataanza kukutafuta. Kabla haujaanza kutangaza mtandaoni hakikisha gari yako unavielelezo vyote kuwa wewe ndio mmiliki pia lipia mapato yako yote ikiwa kama unadaiwa 2.Elewa kipi unakijua kuhusu gari yako Mara mtu anapoanza kukutafuta huwa anakuja na maswali mengi utafanya  vizuri kuwajibu Ikiwa hauna ujuzi wowote ni muda sasa wakuanza kufuatilia gari yako ina engine ya aina g...