Na leo hii Gulio Tanzania tupo hapa tumekuorodhoshea hatua saba mambo ya kuyazingatia unapotaka kuuza nyumba mtandaoni
1.Fanya utafiti sifa za dalali unayemfikiria kukuuzia nyumba yako
Kabla haujachagua dalali unayempenda hakikisha unampata dalali ambaye atakuuzia nyumba kwa bei nzuri pia awe mwaminifu
2.Chukua mda kuandaa picha
Kitu cha msingi wanunuaji wa nyumba mtandaoni wanachokiangalia zaidi ni picha kabla hawajataka kujua vitu vingine kazi kwako kuchukua picha za nyumba yako zenye muonekano mzuri
Chukua picha ya nyumba nzima kwa mbele ambayo itaonekana bila gari au wanyama
pia chukua picha ikionesha vyumba,sebule kama kuna yard ya magari au swimming pool
3.Usisahau kulipia kiasi kidogo tangazo lako premium listing
Hatua ya kwanza kabisa kuuza nyumba yako mtandaoni ni rahisi kama tangazo lako litakuwa ukurasa wa mbele ambao wanunuaji wengi wanaliona
Amini kwamba kutangaza biashara premium listing kutakupa pesa
Ni muhimu kuweka tangazo lako ukurasa wa mbele wa site sababu ushindani nao ni mkubwa
Lipia kiasi kidogo kutangaza nyumba yako ionekane ukurasa wa mbele kwa tovuti kama guliostore.com
Utakuwa na uwezekano mkubwa wa kuuza nyumba yako
4.Tangaza mtaa nyumba ilipo
Tangaza maeneo ilipo nyumba yako ili kuweza kuwavutia wateja utawaambia nyumba ipo na huduma gani za kijamii ikiwa ipo karibu shule,bar,mgahawa bank nk
5.Hakikisha nyumba yako ipo vizuri kabla mtu hajaiona
Tumia muda na pesa kidogo kufanya marekebisho kidogo ya nyumba yako ili kufanikiwa kuiuza paka rangi mpya ukutani badilisha madirisha ya jikoni na hata kwa upande wa bafu na choo paka rangi zionekane kama ni mpya
6.Kwanini unauza nyumba? waambie wateja
Watoe hofu wateja wako unaowatangazia nyumba kwa kuwaambia sababu za wewe kuuza hiyo nyumba ili wajue wananunua nyumba mahali sahihi palipo pimwa
7.Tangaza nyumba yako kwenye kwenye tovuti nyingi ikiwemo tovuti ya guliostore.com na app ya Gulio store inatoa nafasi kwako wewe unayehitaji kuuza nyumba,majengo au viwanja kwa kuchangia kiasi kidogo
kuwekewa tangazo lako premium ambalo litaonekana kwa wateja wengi
http://www.guliostore.com
JibuFuta