Siku ya leo nimewaletea vifaa vya simu ambavyo ni bora na vinauzika zaidi kutoka kwa wasambazaji wakubwa duniani kipindi hiki kama ni muuzaji wa electronics nafahamu kabisa utakuwa na idea kidogo kuhusu uagizaji wa mizigo ya vifaa vya simu kutoka katika mitandao mikubwa kama Alibaba,amazon,ebay nk
Unavyoingia kwenye store kubwa kama hizo utaambiwa na bidhaa ambazo zimekuwa zinapendwa zaidi na wateja wakati huo
Lengo la makala hii nikutoa muongozo ili ujue bidhaa zipi zipo kwenye soko kipindi hasa kwa wale wauzaji wa jumla wale wanaochukua au wanaotaka kuanza kuchukua mizigo kutoka katika mataifa mbalimbali na kuja kuuza nchini kwa jumla
Bila kupoteza mda ngoja nielekee kukutajia hivyo vifaa vya simu ambavyo vipo kwenye soko kipindi hiki ina mana kama utanunua basi upo uwezekano wakuja kumaliza mzigo haraka
1. Popsocket
Popsocket ni kifaa ambacho kama kishikizo kinachokuwa kinapachikwa nyuma ya simu kinamfanya mtumiaji kushikilia vizuri smartphone yake pale anapochukua picha ya selfies
Popsocket mounts pia inaweza kutumika kwenye gari kushikilia smartphone
Hii bidhaa unaweza kupata kwa bei ya jumla kwenye mitandao mikubwa kwanzia
$2-$8
3.Bower &wilkins PX
Hizi ni Headphone ambazo zinatoa mziki mzuri usiokuwa na kelele,ina base,ina muonekano mzuri,ina bluetooth,ya thamani,ina kaa na betri mda mrefu,imebuniwa kiubunifu,inaweza kutumika kwa microphone unawez kuzipata kutoka store ya Amazon
4.Back me up mobile charger
Hii ni rahisi kuchaji simu yako hii powerbank ni kama zingine za kawaida tu isipokuwa inakuwa na imebuniwa kitofauti muonekano
5. BOOST Up Wireless Charging Pad
Hii ni chaji ambayo haitumii waya kuchomeka lakini haitumiki kwa umbali mrefu
Pia hii nayo bado ipo kwenye soko kama ni mfanyabiashara hii bado ni fursa kwako kuendelea kuagiza hii charger kwa bei ya jumla kutoka alibaba ambao bidhaa hizi utazipata kwa bei cheap na wewe ukaja kuuza kwa bei ya jumla
6.Pocket Power 10K Power Bank
Hii inatumika kuchajia smartphone zote inapeleka chaji haraka,haipatishi moto simu yako
Ukiingia kwenye store hizo utakutana na power bank aina nyingi. Lakini hii ni moja ya zile best zilizopendwa zaidi na watu
Ingia chagua supplier anaeuza bei cheap ili ukinunua jumla na wewe uje kuuza jumla
7. Insta360 one
Hii ina sifa nyingi za 360 cameras kwa miaka miwili iliyopita ilionekana hata theme sawa na 360 cameras.Baadhi ya camera zinaoneka kama ni bora lakini zinakosa sifa muhimu kama za 360
Kwa insta360 ina sifa nyingi kama 360 camera ina shoot video nzuri, na picha nzuri zenye quality
Hii unaweza kuinunua kwenye mitandao kama Gearbest na amazon
8.Audio + Charge Rockstar
Hii imebuniwa kwa ajili ya kuchaji simu hapo hapo ukiwa unasikiliza mziki. Ina cable mbili moja ya kuchomeka sehemu ya kusikiliza muziki na nyingine chaji
Kifaa hichi kimetengenezwa kwa simu ya iphone 7 na iphone 7 plus
9. iON Wireless Plus Fast Charging Pad
Kuna wireless nyingi ambazo zipo sokoni nyingi ya izo zina sifa sawa ambazo unaweza kuzipata kwanzia bei ya $5,lakini kama unatafuta ile yenye ubora zaidi na iliyobuniwa kitofauti jaribu hii "iON Wireless Plus Fast Charging Pad" ipo rectangle muonekano kama wallet ipo kwenye soko kipindi hichi watu wengi wanainunua sana
10.BEST CAMERA LENSES: AMIR 3-IN-1
Hii inafahamika sana na pia bei yake ni cheap huwa zinakuja lens tatu zimetengenezewa aluminium na plastic hii ni lens ya camera inatumika kwenye simu za iphone na android kuongeza ukubwa wa picha
Utaipata kupitia kwenye store kubwa kwanzia bei ya $5 kwa mzigo wa jumla kulingana na ubora
11. BEST WATERPROOF CASE: OCASE WATERPROOF PHONE CASE
Hilo ni kasha la smartphone ambalo linazuia maji yasiingie kwenye simu linazui kwa asilimia 100 mtumiaji anaweza akachukua picha akiwa ndani ya maji
Ndugu msomaji baada yakufahamu vifaa hivyo vinavyotrend sana kwenye soko kwa sasa naamini kabisa utakuwa umepata kitu hapa
Lakini bado lengo langu kubwa ni kuhakikisha mfanyabiashara unafanikiwa kwanzia kwenye kununua bidhaa bora na kupata masoko kupitia mtandao
Ndo mana kwa kushirikiana na team yangu tumeamua kuja na tovuti hii guliostore.com itakayokusaidia kuuza bidhaa zako pale utapokuwa umeshaleta mzigo Tanzania
Site yetu inatembelewa na watu wengi hivyo kukufanya kuwa na uwezekano wa kuuza bidhaa zako haraka
Tuna kupa ofa ya nusu bei kwa wiki moja tangazo lako la premium
Na utafanyiwa boosting kwenye social Network
Maoni
Chapisha Maoni