Balo la nguo mengi huanza kuanzia 380,000 mpaka 480,000 au 520,000 inategemea na ulipo, mzigo unabeba pisi 100 hadi 250 kwa balo.
Mtaji uwe tu na hiyo 500,000 kwa balo. Uzia hata chumbani. Mambo yataenda.
Mabelo ya kiume mara nyingi mabelo huwa yana anzia 350 na kuendelea, ila kwa kukushauri huko ulipo kama unataka kununua nenda na mtu ambaye anajua hiyo biashara ili akuchagulie belo zuri, coz kuna lebal za kuchukua sio kila mzigo unachuka, zingatia hilo coz wanaweza kusema wamekupa namba moja kumbe sio. Mfano wa lebel nzuri ni hiyo kwenye picha chini hapo.
Ushauri! kwanzaa angalia kama eneo lako kuna hali gan ya hewaa kama ni baridi kachukue "shifoni" ni 180000
Mahali wanako uza ni pale mnazi mmojaa mtaa wa sofiaa!! nenda kafanye survey pia ukiwa unatolea mzigo!!!
Maoni
Chapisha Maoni