Kwa mtaji wa laki tano unaweza Fanya biashara ya vifaa vya simu
Anza na earphones za buku Mia mbili kwa buku Mia 3 whole sale..
Covers Autofocus nyingi zinakuwa black in colour Bei 1000,1500 elfu mbili kwa whole sale..Batteries za simu ndogo viswaswadu.. za buku buku jero whole sale..
Housings za simu..nokia.sana Sana..bse ndo zilizopo available .sokoni
Bei Ni buku Kwa housing Pekee ..na buku jero kwa housing yenye motherboard...
Kuongeza kipato na kuvutia wateja ..mtaji ukikuwa au Kama unaweza azima ..tafuta computer Tia nyimbo na sizoni...
Uza..
Pia usisahau kuuza memory cards flash disks..
Za kiwango Cha chini na Cha juu(Fake na original)
Karibu mkuu.
Maoni
Chapisha Maoni