Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Ijue biashara ya vitenge na mtaji wakuanzia nao

 Bashara moja nzuri inawateja wengi sna hasa sehemu za vijiji. challenge hii biaashara. 1)kubali kukopesha 2)Ufatiliaji. 3)minimum polite.language.sbabu mwanamke unamjua akacheka akamalza.mtaji wako.strong language inahitajka mkuu. Business prediodization and time of business. 1)rural and urban. Rural time business. Wakati.wa mavuno kuazia mwezi wa 5hadi wa 8.utapga sna hela mkuu.andaaa.mtaji . urban time business. wakati wote utafanya b iashara. challenges at both businesses zone. 1. Rural . Uaminifu 》lazma.upatemtu mwanifu sna kama utafanya b iashara hiI vijijini. Changamoto ya biashara ya vitenge Changamoto kubwa ni kwenye uuzaji watu wanapokopa kurudisha inakua vigumu hivyo biashara inasuasua. Ila kama ni kwenye minada nadhani siyo ngumu sana kikubwa uwezo wa kupata MZIGO kwa muda muafaka na kuzunguka minadani

Njia za kupata pesa kupitia mtandao

  Hakuna mafanikio yanayokuja kiurahisi, utahitaji juhudi, muda, uvumilivu na kujifunza Zaidi mpaka kupata matokea hivyo usitegemee kupata matokeo ya haraka unapoanza kufanya ishu yoyote mtandaoni. Haya tuangalie njia hizi..... 1. Uhandishi wa maudhui mtandaoni (Online Content writing). Uandishi wa Makala katika Blog na Tovuti (Websites). Kuandaa post kwaajili ya kuweka katika mitandao ya kijamii. Ujuzi unaohitaji • Ujuzi wa kuandika. • Kutambua na kutumia maneno muhimu (keywords). • Uwezo wa kuchambua taarifa. • Kufahamu seo (Search Engine Optimization). 2. Kuuza ujuzi wako mtandaoni kupitia mitandao ya kijamii na freelancing platforms kama Upwork na Fiverr. Juzi unazoweza kuuza mtandaoni • Kutafsiri lugha mbalimbali. • Uandishi wa Makala • Kusimamia mitandao ya kijamii ya watu au kampuni. • Graphic design • Wataalamu wa masuala ya seo • Web design na App developers 3. Udalali /Uuzaji wa ushirika (Affliate marketing). Unapata gawio kwa kuuza bidhaa za watu wengine. Unaweza tumia m...

Jinsi ya kupata mtaji wa biashara

  Jinsi Ya Kupata mtaji wa biashara tanzania ni Moja kati ya changamoto kabla ya kuanza kufanya biashara au kuanzisha biashara yoyote Katika kipengele hiki naenda kujadili changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye biashara. Jinsi Ya Kupata Mtaji wa Biashara 1. Tumia akiba zako kama mtaji, au anza kuweka akiba. Kama kuna akiba zozote ambazo umekuwa unajiwekea kwa muda unaweza kuzitumia kama mtaji wa kuanzia biashara Kama huna akiba yoyote anza sasa kujiwekea akiba na jipe muda unaohitaji ili kufikisha kiwango cha mtaji unachotaka. 2. Chukua kazi hata yenye maslahi kidogo. Kama ndio umemaliza shule na hujapata ajira na pia huna mshahara wa kuanzia nakushauri uchukue kazi yoyote unayoweza kupata hata kama ina maslahi kidogo. Lengo lako litakuwa ni kukusanya mtaji na hivyo utaifanya kazi hiyo kwa kipindi fulani na kisha kuachana nayo. Inabidi ukubali kuteseka kwa muda kidogo ili uweze kufika kule unakotazamia. Sasa kama utaniambia kwamba wewe ni msomi na kuna ...

Biashara zinazolipa zaidi Tanzania kwa mtaji mdogo

 Tuangalie biashara 21 za mtaji mdogo usiozidi Tshs. 100,000 unazoweza kufanya na zenye faida kubwa. Mtaji mkubwa unaohitajika unapoanzisha biashara ni muda na wala sio pesa kama utakavyojifunza hapa. 1. KUPIKA KWA  Kama wewe ni mpishi mzuri au una mtu anayejua kupika, basi jitangaze kama unapokea oda za mapishi fulani Tuchukulie unaweza kupika makande au wali nyama vizuri Unachoweza kufanya ni kwenda maofisi ya karibu yako na kuwaambia kwamba wakutafute wanapohitaji hicho chakula wakati wa mchana na wewe utawaletea Usisahau kuacha mawasiliano yako ili waweze kukutafuta Wengi wao watapenda hiyo huduma kwasababu hawatohitaji kutoka tena kufata chakula 2. UREMBO (MAKEUP, KUSUKA & KUCHA Urembo ni gharama. Wanadada wanataka kupendeza wanapokwenda safari zao kama ni kazini ama shughulini Uzuri ni kwamba hii ni biashara ya kila siku unayoweza kufanya Baada ya kufanya utafiti wangu, nimebaini kwamba kufanya makeup, kutengeneza kucha na ususi wa nywele zinalipa vizuri tu Kuna watu...

biashara ya nguo za mitumba

 Balo la nguo mengi huanza kuanzia 380,000 mpaka 480,000 au 520,000 inategemea na ulipo, mzigo unabeba pisi 100 hadi 250 kwa balo. Mtaji uwe tu na hiyo 500,000 kwa balo. Uzia hata chumbani. Mambo yataenda. Mabelo ya kiume mara nyingi mabelo huwa yana anzia 350 na kuendelea, ila kwa kukushauri huko ulipo kama unataka kununua nenda na mtu ambaye anajua hiyo biashara ili akuchagulie belo zuri, coz kuna lebal za kuchukua sio kila mzigo unachuka, zingatia hilo coz wanaweza kusema wamekupa namba moja kumbe sio. Mfano wa lebel nzuri ni hiyo kwenye picha chini hapo. Ushauri! kwanzaa angalia kama eneo lako kuna hali gan ya hewaa kama ni baridi kachukue "shifoni" ni 180000 Mahali wanako uza ni pale mnazi mmojaa mtaa wa sofiaa!! nenda kafanye survey pia ukiwa unatolea mzigo!!! 

Orodha ya biashara za kufanya kwa mtaji mdogo na mkubwa

  Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. Kutengeneza na kuuza tofali Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.  Kuanzisha kituo cha redio na televisheni Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano. Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k Kushona na kuuza nguo. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali, Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo. Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza. Kusajili namba za simu na kuuza vocha Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta Kilimo cha maza...

Mambo yakuzingatia unapotaka kuanzisha biashara ya chakula (mgahawa)

  Mgahawa ni moja kati ya biashara zinazolipa hapa nchini. Kutokana na hilo, hakuna urahisi katika biashara hii kuanzia kwa mmiliki hadi wafanyakazi. Na ili watu wapende kula katika mgahawa wako unatakiwa kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa ikiwa ni pamoja na usafi, muonekano wa mgahawa wako n.k. Kama umeamua kufanya biashara hii zingatia haya: Si kila mtu lazima awe mmiliki wa mgahawa Unapenda kupika? Vizuri, unapenda kula? Vizuri zaidi, unapenda kuburudisha? Jambo zuri lakini hayo yote hayawezi kukufanya uwe na vigezo vya kumiliki  mgahawa. Mambo unayotakiwa kuzingatia ni pamoja na je unapenda kufanya kazi masaa mengi? Unaweza kumudu kutolipwa kwa muda? Unaweza kununua bima ya afya? Na sio kufikiria tu kufungua biashara. Wazo la kuwa bosi ni zuri lakini linakuja na majukumu mengi kuliko unavyoweza kufikiria. ADVERTISEMENT Eneo Kati ya vitu muhimu kwenye biashara hii ni eneo. Hutakiwi kupuuzia swala hili kwasababu eneo likiwa zuri uhakika wa kupata wateja wengi ni mkubwa na k...